1 Chronicles 29:25

25 a Bwana akamtukuza sana Sulemani mbele ya Israeli wote na kumvika fahari ya kifalme ambayo hakuna mfalme yeyote wa Israeli kabla yake aliwahi kuwa nayo.

Muhtasari Wa Utawala Wa Daudi

Copyright information for SwhKC